kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kama unaangalia mpira vizuri hawa wawili uchezaji wao hauna tofauti sana, ila Haaland anamzidi Mayele finishing tu.
Mayele tayari anajua kujiweka kama Haaland, ila ana matatizo ya umaliziaji tu! Anapata nafasi nyingi ila kumaliza ndiyo shida.
Na ajifunze kupiga "Outbox" mara nyingi, Mayele akipiga shuti nje ya chumba zinapaa juu kwanza! Nilishangaa sana kuona amefunga Simba goli la "Outbox".