kwanini yusuph macho lakini ?Ni sawa na kumfananisha gaucho na yusuph macho
Utakuwa unaangalia mpira ukiwa umeshabwia ugoro. Yaani huyu mgonjwa wa degedege ndiyo umpime na Haaland kweli?Kama unaangalia mpira vizuri hawa wawili uchezaji wao hauna tofauti sana, ila Haaland anamzidi Mayele finishing tu.
Mayele tayari anajua kujiweka kama Haaland, ila ana matatizo ya umaliziaji tu! Anapata nafasi nyingi ila kumaliza ndiyo shida.
Na ajifunze kupiga "Outbox" mara nyingi, Mayele akipiga shuti nje ya chumba zinapaa juu kwanza! Nilishangaa sana kuona amefunga Simba goli la "Outbox".
Hata ujifiche vipi wewe ni mtopolo tuWe utopolo kajifunze kwanza mwandiko ndio uje kumlinganisha Haaland na huyo manywele wenu
Mkuu na wewe umeingia kwenye huu ujinga wa kumuweka Mayele na Haaland kwenye mzazi mmoja? Mbona unajishusha sana,hii waachie washabiki oyaoya, sawa?Hizi dharau zenu ndizo zinazompa jeuri ya kuwalaza na viatu kila mnapokutana naye.
Kwa watopolo hiyo ni sawa,hamna akili hata kiduchu kama alivyosema Luc Eymael na Msemaji wenu Takadini.Mayele na halaand wapo kwenye mizani sawa
Hakuna sehemu nilipo mfananisha Fiston Mayele na Halaand! Kwa sababu ni wachezaji wa dunia mbili tofauti.Mkuu na wewe umeingia kwenye huu ujinga wa kumuweka Mayele na Haaland kwenye mzazi mmoja? Mbona unajishusha sana,hii waachie washabiki oyaoya, sawa?
Kama unaangalia mpira vizuri hawa wawili uchezaji wao hauna tofauti sana, ila Haaland anamzidi Mayele finishing tu.
Mayele tayari anajua kujiweka kama Haaland, ila ana matatizo ya umaliziaji tu! Anapata nafasi nyingi ila kumaliza ndiyo shida.
Na ajifunze kupiga "Outbox" mara nyingi, Mayele akipiga shuti nje ya chumba zinapaa juu kwanza! Nilishangaa sana kuona amefunga Simba goli la "Outbox".
Haaland hana tofauti kubwa na mayele
Anacho mzidi mayele ni finishing tu lakini wote uchezaji wao ni mmoja mayele ana speed haaland ana speed
Mayele anajua kuji position
Haaland anajua kuji position
Haaland anajua ku finish
Mayele hajui kufinish
Hiyo tofauti tu lakini mengine wanafanana tu