Mayele anaweza kuwa kama Haaland akirekebisha vitu vidogo tu

Mayele anaweza kuwa kama Haaland akirekebisha vitu vidogo tu

Mtoa mada anamsema haaland huyu huyu wa man city au haaland wa kule mbagala maji matitu.
 
Kama unaangalia mpira vizuri hawa wawili uchezaji wao hauna tofauti sana, ila Haaland anamzidi Mayele finishing tu.

Mayele tayari anajua kujiweka kama Haaland, ila ana matatizo ya umaliziaji tu! Anapata nafasi nyingi ila kumaliza ndiyo shida.

Na ajifunze kupiga "Outbox" mara nyingi, Mayele akipiga shuti nje ya chumba zinapaa juu kwanza! Nilishangaa sana kuona amefunga Simba goli la "Outbox".
Utakuwa unaangalia mpira ukiwa umeshabwia ugoro. Yaani huyu mgonjwa wa degedege ndiyo umpime na Haaland kweli?
 
Hizi dharau zenu ndizo zinazompa jeuri ya kuwalaza na viatu kila mnapokutana naye.
Mkuu na wewe umeingia kwenye huu ujinga wa kumuweka Mayele na Haaland kwenye mzazi mmoja? Mbona unajishusha sana,hii waachie washabiki oyaoya, sawa?
 
Mkuu na wewe umeingia kwenye huu ujinga wa kumuweka Mayele na Haaland kwenye mzazi mmoja? Mbona unajishusha sana,hii waachie washabiki oyaoya, sawa?
Hakuna sehemu nilipo mfananisha Fiston Mayele na Halaand! Kwa sababu ni wachezaji wa dunia mbili tofauti.

Ila wakati huo huo, huwezi pia kumdharau Fiston Mayele, kwa sababu tu kafananishwa na Halaand! Maana kwenye Ligi yetu ya NBC, ana heshima yake.
 
Kama unaangalia mpira vizuri hawa wawili uchezaji wao hauna tofauti sana, ila Haaland anamzidi Mayele finishing tu.

Mayele tayari anajua kujiweka kama Haaland, ila ana matatizo ya umaliziaji tu! Anapata nafasi nyingi ila kumaliza ndiyo shida.

Na ajifunze kupiga "Outbox" mara nyingi, Mayele akipiga shuti nje ya chumba zinapaa juu kwanza! Nilishangaa sana kuona amefunga Simba goli la "Outbox".

Kama ndio hivyo Mbona mayele ajaenda kucheza Ulaya yupo hapa bongo anashindana na ihefu?
Mwenzake wanaefanana huwezo yuko ulaya yeye yuko bongo hapa?
Sijui utakuwa unawaza nini yaani haaland huyu huyu wa man city au kuna mwingine ulikuwa unamaanisha?
 
Hivi ulimaanisha Haaland au Hulanzi?
 
Haaland hana tofauti kubwa na mayele

Anacho mzidi mayele ni finishing tu lakini wote uchezaji wao ni mmoja mayele ana speed haaland ana speed
Mayele anajua kuji position
Haaland anajua kuji position
Haaland anajua ku finish
Mayele hajui kufinish
Hiyo tofauti tu lakini mengine wanafanana tu

Mbona haaland yuko Ulaya huyo mayele yuko bongo hapa kwanini?

Wanaojua mpira wako ulaya mkuu,wanaojua mpira hawawezi kucheza ligi ya bongo hapa.
 
Mayele ni bonge la striker nadhani huyu ndio roho ya yanga ...akiondoka huyu bwana na yule feisal yanga itabaki jina tu
 
Msilinganishe Halland na ujinga
 
Back
Top Bottom