Mayele asifananishwe na yeyote hapa Tanzania

Mayele asifananishwe na yeyote hapa Tanzania

Aliyefikisha 100 ameshafikisha. Aliyefikisha 50 hajafikisha 100 na hatujui kitakachompata mbele kama atafikisha au atashindwa kucheza kabisa mpira. Rekodi huwa inaangaliwa iliyopo, sio inayotarajiwa kuwepo
Wanaomiliki akili kule wako wawili mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu...

Kuna vitu vina Shangaza sana,hivi unapataje nguvu yakumfananisha mayele na hao wachezaji wenu wa mchongo.

Tulifurahia John bocco alipofikisha magoli 100, tukashindwa kuelewa kuwa hayo magoli yote ni ya misimu 6 kwanzia azam hadi leo yupo simba.

Sasa kuna mwanaume anaitwa fistoni kalala mayele sasa kashafikisha magoli 50 na hayo magoli niya misimu 2 tu toka ajiunge na yanga.

Ebu imagine akiendelea kuchezea yanga kwa misimu 6 siatafikisha magoli 300?

Alafu kuna watu wanajitekenya wenyewe alafu wanacheka. Mayele asifananishwe na kinyago yeyote hapa Tanzania.

Leo tunafunga mjadala wa kumfananisha mayele na vinyago wenu. Mangi shangali hapa
 
Back
Top Bottom