Leo nataka kweli kujua kama nabi ni professor, ntamkubali sana nabi akimuweka nje mayele! Mechi ya Azam Ina umuhimu kuliko huu ujinga wa kiatu
Leo nataka kweli kujua kama nabi ni professor, ntamkubali sana nabi akimuweka nje mayele! Mechi ya Azam Ina umuhimu kuliko huu ujinga wa kiatu
Mashabiki wa simba ni watu wa kuridhika hata kwa vitu vidogo tu. Yaani hata wakose makombe yote muhimu ndani ya msimu mzima, ila wakipata faraja ndogo tu mahali fulani, wanaridhika.
Kweli simba ni matahiraUsisahau yanga wanaridhika kumuachia mchezaji Kwa zawadi ya ubwabwa
Nyie mliomtoa mchezaji wa pilau la ikulu tuwaweke kundi gani?Mashabiki wa simba ni watu wa kuridhika hata kwa vitu vidogo tu. Yaani hata wakose makombe yote muhimu ndani ya msimu mzima, ila wakipata faraja ndogo tu mahali fulani, wanaridhika.
Yanga nyie hamna hata akili ya kuvukia barabaraKweli simba ni matahira
Kama wanakuhesabu kama shabiki kazi wanayo
Na wataumbukaaa[emoji1787]Mashabiki wa simba ni watu wa kuridhika hata kwa vitu vidogo tu. Yaani hata wakose makombe yote muhimu ndani ya msimu mzima, ila wakipata faraja ndogo tu mahali fulani, wanaridhika.
Saidoo anabeba