Mayele atapokonywa ufungaji bora 2022/23 na Saido?

Mayele atapokonywa ufungaji bora 2022/23 na Saido?

Yani kelele zote za Mayele Mayele kila kona kumbe hata kiatu hachukui? Tena yeye striker anazidiwa na midfielder?

Nadhani heshima ya MK14 inabaki palepale

Btw Ishu ya bandari imefikia wapi?
 
Makolo yamenuna
[emoji4][emoji4][emoji18][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji1787]
 
Mayere ana kiatu Cha mfungaji bora Afrika hicho Cha Tanzania bora tu awachie wachezsji wa Simba na Namungo wakigimbanie

Yanga Sasa inatakiwa tufukirie mambo makubwa makubwa
 
Bandari imeuzwa huko jamani,tujadili huu ujinga kwa muda then tujikite kwenye mambo ya msingi,ohoooo.
 
Kuna msimu premier League walichukua watatu aubamayang, Salah na mane, so Kwa hapa bongo nahisi napo watacopy kama waingereza
 
Mayere ana kiatu Cha mfungaji bora Afrika hicho Cha Tanzania bora tu awachie wachezsji wa Simba na Namungo wakigimbanie

Yanga Sasa inatakiwa tufukirie mambo makubwa makubwa
Unaweza ukatuonesha hicho kiatu tafadhali?? kule hakunaga kiatu kuna acknowldgement tu.
 
Back
Top Bottom