mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Mshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake.
Mbali na tuzo hiyo, vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa Mayele ndio mchezaji anaefatiliwa sana hapa barani Afrika na Kuna tetesi anaweza kwenda kukipiga Moja kati ya klabu kubwa nchini Ubelgij.
Wakununa na wanune.