Mayele atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Congo

Mayele atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Congo

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Mshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake.

Mbali na tuzo hiyo, vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa Mayele ndio mchezaji anaefatiliwa sana hapa barani Afrika na Kuna tetesi anaweza kwenda kukipiga Moja kati ya klabu kubwa nchini Ubelgij.

Wakununa na wanune.
20230103_105237.jpg
 
Mshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake...
Ligi yetu ndogo Sana sidhani kama inaushawishi wowote hapa Afrika.

Labda klabu ya Simba walau watu walianza kuifuatilia kwa mbaliii nayo bado.
 
Ligi yetu ndogo Sana sidhani kama inaushawishi wowote hapa Afrika.

Labda klabu ya Simba walau watu walianza kuifuatilia kwa mbaliii nayo bado.
Ndio hivo Sasa kama hutaki meza hivi vitu
Screenshot_20230103-110734.jpg
 
Attachments

  • ____%2C__1980-_.JPG
    ____%2C__1980-_.JPG
    686.4 KB · Views: 5
Mshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake

Mbali na tuzo hiyo, vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa Mayele ndio mchezaji anaefatiliwa sana hapa barani Afrika na Kuna tetesi anaweza kwenda kukipiga Moja kati ya klabu kubwa nchini Ubelgij.

Wakununa na wanuneView attachment 2467620
andika mayele ni mchezaji Bora wa Leopard leader media house and sport , ni sawa na shafih dauda aseme mpole ni mchezaji Bora wa Tanzania kisha ukurupuke kutuletea habari. Hizo mambo waachie priva na wenzake wanaishi Kwa sababu hiyo hapa tuna akili timamu.
 
Mshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake.

Mbali na tuzo hiyo, vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa Mayele ndio mchezaji anaefatiliwa sana hapa barani Afrika na Kuna tetesi anaweza kwenda kukipiga Moja kati ya klabu kubwa nchini Ubelgij.

Wakununa na wanune.View attachment 2467620
Kweli nimeamini huko Yanga wote hamnazo
 
Sa mtakuwa tayari aende huko ubeligiji???manake yanga kwa zengwe??’!!! Hamjambo
 
Ni kweli tumetolewa..haya sasa jibu swali mtamruhusu bwana mayele?
Yanga ilikuwepo kabla ya Mayele mkuu, Mayele ameleta kombe 1 tu kati ya 28 ya ligi, kumbe Yanga inaweza kuishi bila mayele
 
Back
Top Bottom