mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Ligi yetu ndogo Sana sidhani kama inaushawishi wowote hapa Afrika.Mshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake...
Tafuta hivi vitu ulambeHiyo blog itakuwa ni ya kijiji
Ndio hivo Sasa kama hutaki meza hivi vituLigi yetu ndogo Sana sidhani kama inaushawishi wowote hapa Afrika.
Labda klabu ya Simba walau watu walianza kuifuatilia kwa mbaliii nayo bado.
andika mayele ni mchezaji Bora wa Leopard leader media house and sport , ni sawa na shafih dauda aseme mpole ni mchezaji Bora wa Tanzania kisha ukurupuke kutuletea habari. Hizo mambo waachie priva na wenzake wanaishi Kwa sababu hiyo hapa tuna akili timamu.Mshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake
Mbali na tuzo hiyo, vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa Mayele ndio mchezaji anaefatiliwa sana hapa barani Afrika na Kuna tetesi anaweza kwenda kukipiga Moja kati ya klabu kubwa nchini Ubelgij.
Wakununa na wanuneView attachment 2467620
Kweli nimeamini huko Yanga wote hamnazoMshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake.
Mbali na tuzo hiyo, vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa Mayele ndio mchezaji anaefatiliwa sana hapa barani Afrika na Kuna tetesi anaweza kwenda kukipiga Moja kati ya klabu kubwa nchini Ubelgij.
Wakununa na wanune.View attachment 2467620
Rage ajengewe sanamu pale msimbaziKweli nimeamini huko Yanga wote hamnazo
Haha hahaNdio hivo Sasa kama hutaki meza hivi vituView attachment 2467626
Shehe naskia eti Jana mmegongwa cha nguruwe na kutolewa hapo hapo?? Hili Lina ukweli wowote??Sa mtakuwa tayari aende huko ubeligiji???manake yanga kwa zengwe??’!!! Hamjambo
Shehe naskia eti Jana mmegongwa cha nguruwe na kutolewa hapo hapo?? Hili Lina ukweli wowote??
Yanga ilikuwepo kabla ya Mayele mkuu, Mayele ameleta kombe 1 tu kati ya 28 ya ligi, kumbe Yanga inaweza kuishi bila mayeleNi kweli tumetolewa..haya sasa jibu swali mtamruhusu bwana mayele?