Mayele azidi kukita mizizi katika kikosi cha Taifa la Kongo

Mayele azidi kukita mizizi katika kikosi cha Taifa la Kongo

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2023
Posts
9,134
Reaction score
14,593
Katika mechi iliyochezwa usiku huu,mshambuliaji machachali wa Dar Young Africans Fiston Kalala Mayele alipata nafasi ya kuonyesha kiwango chake Kwa kupata dakika 32 uwanjani

Na Kwa jinsi alivyocheza na mwitikio wa kocha wake,naona milango ya mshambuliaji huyu ikizidi kufunguka

NB: Kuna Mayele mmoja tu,usidanganyike.

Screenshot_20230329-045448.png
Screenshot_20230329-045107.png
 
Katika mechi iliyochezwa usiku huu,mshambuliaji machachali wa Dar Young Africans Fiston Kalala Mayele alipata nafasi ya kuonyesha kiwango chake Kwa kupata dakika 32 uwanjani

Na Kwa jinsi alivyocheza na mwitikio wa kocha wake,naona milango ya mshambuliaji huyu ikizidi kufunguka

NB:Kuna Mayele mmoja tu,usidanganyike
Naona wa Burkinabe wamegoma kumchezesha star wetu Aziz Ki. Wanaogopa ataupiga mwingi hadi umwagike.
 
Ndiyo kimkakati,si unajua wanasimba wanaenda kuangusha mbuyu huko Uarabuni,kwahiyo nilikuwa napima kina Cha maji
Wakubwa wawili wanakutana huko. Watatuambia zile 3 walizipataje 🦁🦁🦁 Hili duru la mwisho kuna mechi mbili tu kwenye mashindano ya CAF, hiyo na ya Al Hilal vs Al Ahly. Zingine zote ni mechi za mchangani.
 
Mayele au Mr Zero ,maana kila kitu zero,
Shot blocked 0
On target 0
Off target 0
Key pass 0

Loh ikumbukwe na mechi iliyopita kugusa mpira 0

Hamna mchezaji hapo
 
Siku hizi shule wameacha kufundisha uzalendo yaani mtu anaiacha national team anashabikia congo kisa mayele.
 
Back
Top Bottom