Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
- Thread starter
- #21
Aahhaaahh, hiyo mechi ya Al Ahyl ni zaidi ya mechi ni kufa na kuponaWakubwa wawili wanakutana huko. Watatuambia zile 3 walizipataje 🦁🦁🦁 Hili duru la mwisho kuna mechi mbili tu kwenye mashindano ya CAF, hiyo na ya Al Hilal vs Al Ahly. Zingine zote ni mechi za mchangani.