Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Katupia magoli 0Katupia mangapi mkuu?
Ila kawapiga chenga wa Mauritania mpaka wakammaindiKacheza dakika 37 kagusa mpira mara3 yote ya kurushiwa,,hajapiga hata shoot moja
Naona wa Burkinabe wamegoma kumchezesha star wetu Aziz Ki. Wanaogopa ataupiga mwingi hadi umwagike.Katika mechi iliyochezwa usiku huu,mshambuliaji machachali wa Dar Young Africans Fiston Kalala Mayele alipata nafasi ya kuonyesha kiwango chake Kwa kupata dakika 32 uwanjani
Na Kwa jinsi alivyocheza na mwitikio wa kocha wake,naona milango ya mshambuliaji huyu ikizidi kufunguka
NB:Kuna Mayele mmoja tu,usidanganyike
Aahajaja,kocha alidhani ana mimba,maana mazoezini alikuwa anatema mate kama kobokoNaona wa Burkinabe wamegoma kumchezesha star wetu Aziz Ki. Wanaogopa ataupiga mwingi hadi umwagike.
Alitetema,ila benchiniKatetema au alitetemeka
Wamekosa kuona matobo ya kufa mtu π€£ππ€£Aahajaja,kocha alidhani ana mimba,maana mazoezini alikuwa anatema mate kama koboko
Aaahahaja,mkuu hivi Enonga Baka Varane alicheza kweli Jana!?Wamekosa kuona matobo ya kufa mtu π€£ππ€£
Bado najaribu kutafuta taarifa za hii mechi ila inaonyesha kule Mauritania ni kama Kigoma ndani ndani. Mpaka taarifa kuja kutufikia itachukua muda.Aaahahaja,mkuu hivi Enonga Baka Varane alicheza kweli Jana!?
Aaaaahahahahahaaa,Bado najaribu kutafuta taarifa za hii mechi ila inaonyesha kule Mauritania ni kama Kigoma ndani ndani. Mpaka taarifa kuja kutufikia itachukua muda.
Ndiyo kimkakati,si unajua wanasimba wanaenda kuangusha mbuyu huko Uarabuni,kwahiyo nilikuwa napima kina Cha majiNilipoona uzi wako nikataka kujiridhisha kwanza maana umeuandika kimkakati sana π€£ππ€£
Wakubwa wawili wanakutana huko. Watatuambia zile 3 walizipataje π¦π¦π¦ Hili duru la mwisho kuna mechi mbili tu kwenye mashindano ya CAF, hiyo na ya Al Hilal vs Al Ahly. Zingine zote ni mechi za mchangani.Ndiyo kimkakati,si unajua wanasimba wanaenda kuangusha mbuyu huko Uarabuni,kwahiyo nilikuwa napima kina Cha maji