Mayele azidi kukita mizizi katika kikosi cha Taifa la Kongo

Wakubwa wawili wanakutana huko. Watatuambia zile 3 walizipataje 🦁🦁🦁 Hili duru la mwisho kuna mechi mbili tu kwenye mashindano ya CAF, hiyo na ya Al Hilal vs Al Ahly. Zingine zote ni mechi za mchangani.
Aahhaaahh, hiyo mechi ya Al Ahyl ni zaidi ya mechi ni kufa na kupona
 
Siku hizi shule wameacha kufundisha uzalendo yaani mtu anaiacha national team anashabikia congo kisa mayele.
Aaahaaaah,
Hapa ni Yanga siyo Taifa Stars
 
Mayele au Mr Zero ,maana kila kitu zero,
Shot blocked 0
On target 0
Off target 0
Key pass 0


Loh ikumbukwe na mechi iliyopita kugusa mpira 0

Hamna mchezaji hapo
Mkuu hujaona kipengere Cha chenga!?,matobo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…