Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
So what?Kwa tunaofatilia soka tangu zamani, Fiston Mayele haingii hata robo kwa Kipre Tchetche aliyekuwa striker wa Azam Fc kutokea Ivory Coast.
Kipre Tchetche alikuwa analijua goli bhana. Alikuww na nguvu kama beki wako ni kushindia chips asingeweza kumkaba Kipre.
Kipre yeye alikuwa anachambua mabeki kadri anavyojisikia, lakini Mayele kazi yake ni kusubiri mpira ndani ya box na kuishia kuwa mzigo kwenye timu.
Mayele ana bahati ya kuwa katika kikosi kilichozungukwa na wachezaji bora wakati Kipre Tchetche yeye ndii aliibeba timu pale ilipomuhitaji.
Hivyo, tumpe muda Mayele tusimsifie sana, maana kuna wachezaji wazuri walishafanya makubwa na walikuwa na uwezo zaidi yake.
POVU RUKSA
Yupo kwa MO anafua boxer za BarbaHuyo cheche yuko wapi sasa ivi?
kipre alikuwa hachezi kama namba 9. yule alikuwa winga anayeibia kwa ndani. alikuwa anatokea namba 11 kama okwi vile .Kipre si ndo yule alowikaga michuano ya CECAFA? Ivory Cost walikuwa waalikwa ktk michuano ile? Huyu jamaa si alikuwa na pacha wake, ndo yeye?
Endapo kama ni yeye, jamaa alikuwa anajua kweli, mpira wake haujaachana na Chikwende, alikuwa na mali miguuni.
Ukiniwekea hapa namba 9 kati ya Kipre Tcheche na Mayelle, wala sitajiuliza mara mbili kumchagua Fiston Kalala Mayelle. Kipaji na juhudi zake uwanjani wala haviitaji muda mwingi kumtambua kuwa ni moja ya namba 9 bora kuwahi kucheza league yetu ktk ardhi yetu ya Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaona kuvizia na kufunga kama Mayele na wewe nenda kavizie ufungeKwa tunaofatilia soka tangu zamani, Fiston Mayele haingii hata robo kwa Kipre Tchetche aliyekuwa striker wa Azam Fc kutokea Ivory Coast.