Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kwa tunaofatilia soka tangu zamani, Fiston Mayele haingii hata robo kwa Kipre Tchetche aliyekuwa striker wa Azam Fc kutokea Ivory Coast.
Kipre Tchetche alikuwa analijua goli bhana. Alikuww na nguvu kama beki wako ni kushindia chips asingeweza kumkaba Kipre.
Kipre yeye alikuwa anachambua mabeki kadri anavyojisikia, lakini Mayele kazi yake ni kusubiri mpira ndani ya box na kuishia kuwa mzigo kwenye timu.
Mayele ana bahati ya kuwa katika kikosi kilichozungukwa na wachezaji bora wakati Kipre Tchetche yeye ndii aliibeba timu pale ilipomuhitaji.
Hivyo, tumpe muda Mayele tusimsifie sana, maana kuna wachezaji wazuri walishafanya makubwa na walikuwa na uwezo zaidi yake.
POVU RUKSA