Tutolee hii pumba basi,Mayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Meshi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea kinafahamika.
Ni wazi kuwa maamuzi hayo yameathiri matokeo ya timu yake na ya kwake pia. Ameonewa sana
Pia na coast alikuwa amepiga halt trick...lines man akachomoa!Mayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Meshi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea kinafahamika.
Ni wazi kuwa maamuzi hayo yameathiri matokeo ya timu yake na ya kwake pia. Ameonewa sana
Maele amekuwa Mapele yanawawasha mwili mzima siku nzima msimu mzima pole yenu Utopolo. Tangu Hamis Tambwe 2015/16 hamjui Kiatu cha dhahabu kinafananaje!Pia na coast alikuwa amepiga halt trick...lines man akachomoa!
Mayele amewanyima sana raha wanasimba 🤣🤣🤣Nimegundua Watanzania tuna dhamira finyu sana ya Utaifa Mioyoni mwetu.
Mwaka 2010 Drogba na Rooney walikuwa na Magoli sawa mechi za Mwisho kama leo.
Mnakumbuka Lampard alimfanya nini Drogba na Vyombo vya habari vya Uingereza viliandika nini?
Chelsea inapata penati dhidi ya Wigan Athletic, Drogba anaenda kupiga ili ampiku Rooney, anakuja Mwingereza mwenzake Rooney kwa jina la Lampard anampoka Drogba mpira asipige penati ili asimpite Mwingereza mwenzake.
Thanks Drogba baadae aliscore na kutwaa kiatu.
Thanks kwa Simba we did it for JOHN BOCCO last season.
Kwa hiki ulichoandika unasadifu akili za watanzania wengi wasiothamini vya kwao. Who is Mayele by then broo, acha kuonyesha umburula wako
Jibu hoja kwa hoja, usinichekee chekeee nitakupachika mimba uonekane kirojaMayele amewanyima sana raha wanasimba 🤣🤣🤣
Hoja ni kwamba makolo wamechiwa kidonda sugu na mayele.Jibu hoja kwa hoja, usinichekee chekeee nitakupachika mimba uonekane kiroja
Tena buku 7 tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imeisha hiyoView attachment 2276861
Ameachiwa yeye na Mpoleee, mnalazimisha furaha huku mnaumia moyoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hoja ni kwamba makolo wamechiwa kidonda sugu na mayele.
Well said [emoji122]Nimegundua Watanzania tuna dhamira finyu sana ya Utaifa Mioyoni mwetu.
Mwaka 2010 Drogba na Rooney walikuwa na Magoli sawa mechi za Mwisho kama leo.
Mnakumbuka Lampard alimfanya nini Drogba na Vyombo vya habari vya Uingereza viliandika nini?
Chelsea inapata penati dhidi ya Wigan Athletic, Drogba anaenda kupiga ili ampiku Rooney, anakuja Mwingereza mwenzake Rooney kwa jina la Lampard anampoka Drogba mpira asipige penati ili asimpite Mwingereza mwenzake.
Thanks Drogba baadae aliscore na kutwaa kiatu.
Thanks kwa Simba we did it for JOHN BOCCO last season.
Kwa hiki ulichoandika unasadifu akili za watanzania wengi wasiothamini vya kwao. Who is Mayele by then broo, acha kuonyesha umburula wako
Chief yaani unataka tutetee vibovu sababu tu ya uzalendo...kumbuka kuna michezo ambayo haingaliii nani ni nani..ebu badilika kidogo mkuu George mpole kafanya vyema msimu huu ila sio sababu ya kutufanya tuwatendee wachezaji wengine ndivyo sivyo ......KAMA UNAJIELEWA UTANIELEWANimegundua Watanzania tuna dhamira finyu sana ya Utaifa Mioyoni mwetu.
Mwaka 2010 Drogba na Rooney walikuwa na Magoli sawa mechi za Mwisho kama leo.
Mnakumbuka Lampard alimfanya nini Drogba na Vyombo vya habari vya Uingereza viliandika nini?
Chelsea inapata penati dhidi ya Wigan Athletic, Drogba anaenda kupiga ili ampiku Rooney, anakuja Mwingereza mwenzake Rooney kwa jina la Lampard anampoka Drogba mpira asipige penati ili asimpite Mwingereza mwenzake.
Thanks Drogba baadae aliscore na kutwaa kiatu.
Thanks kwa Simba we did it for JOHN BOCCO last season.
Kwa hiki ulichoandika unasadifu akili za watanzania wengi wasiothamini vya kwao. Who is Mayele by then broo, acha kuonyesha umburula wako
Yani tuchukue ubingwa alafu tusiwe na furaha??Ameachiwa yeye na Mpoleee, mnalazimisha furaha huku mnaumia moyoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpolee kapiga kwenye mshono afu panapoumaa, weraaaaaaah