Mayele kaonewa zaidi na waamuzi this season

Mayele kaonewa zaidi na waamuzi this season

Maele amekuwa Mapele yanawawasha mwili mzima siku nzima msimu mzima pole yenu Utopolo. Tangu Hamis Tambwe 2015/16 hamjui Kiatu cha dhahabu kinafananaje!
Alichowafanya ngao ya jamii kinatosha
 
Yani tuchukue ubingwa alafu tusiwe na furaha??
Makolo mmepanic kweri-kweri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona clip yake lakini? Analia huku anamfata kibenderaaa, mbavu cna uwiiiiiih.
Analalama huko wachezaji wenzake hawampi ushirikiano, woiiiiiiih.

Sisi tulivyokua tunachukua ndoo, na wafungaji bora tunatoa tena sio m1 ? Ni wengi afu wanafuatana sasa.

Record mliyoweka leo, Simba na Azam zilishafanya hivyo Zaman.

Mpoleeeeeee kasimamisha jiji, katuliza wenge la vumbi la salamander tower. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaelewa mmmmmh
 
Imeisha hiyooo kiatu wasubiri vya gsm
 
Attachments

  • FB_IMG_16565661566068991.jpg
    FB_IMG_16565661566068991.jpg
    18.5 KB · Views: 5
Nimegundua Watanzania tuna dhamira finyu sana ya Utaifa Mioyoni mwetu.

good
Mwaka 2010 Drogba na Rooney walikuwa na Magoli sawa mechi za Mwisho kama leo.

Mnakumbuka Lampard alimfanya nini Drogba na Vyombo vya habari vya Uingereza viliandika nini?

Chelsea inapata penati dhidi ya Wigan Athletic, Drogba anaenda kupiga ili ampiku Rooney, anakuja Mwingereza mwenzake Rooney kwa jina la Lampard anampoka Drogba mpira asipige penati ili asimpite Mwingereza mwenzake.

Thanks Drogba baadae aliscore na kutwaa kiatu.
Thanks kwa Simba we did it for JOHN BOCCO last season.

Kwa hiki ulichoandika unasadifu akili za watanzania wengi wasiothamini vya kwao. Who is Mayele by then broo, acha kuonyesha umburula wako
 
All in all, Tanzania tuna uhaba mkubwa wa waamuzi wenye uwezo wa kuzisimamia sheria 17 za soka kwa usahihi. Kiukweli wengi tulio nao ni majanga.
 
Mayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Meshi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea kinafahamika.

Ni wazi kuwa maamuzi hayo yameathiri matokeo ya timu yake na ya kwake pia. Ameonewa sana
Muhimu ni Yanga kutwaa ubingwa au ufungaji bora wa Mayele ?
 
Mayele ameshindwa kuyafikia hata magoli ya HERITIER MAKAMBO Msimu wa 2018/2019 yaani magoli 19 na alizidiwa na MEDDIE KAGERE akimaliza msimu na magoli 23.

YANGA tatizo lenu mlidhani mayele ni bora mno, lakini ni mchezaji wa kawaida tu hawezi hata kufikia rekodi ya AMISS TAMBWE!
 
Mayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Mechi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea kinafahamika. Ni wazi kuwa maamuzi hayo yameathiri matokeo ya timu yake na ya kwake pia. Ameonewa sana

Daah, umeandika kwa uchungu sana. Pole ndugu

1656569175880.png
 
Inahuzunisha sana kuona golikipa anazuia Mayele asifunge goli

1656569477421.png
 
Back
Top Bottom