Mayele kaonewa zaidi na waamuzi this season

Maele amekuwa Mapele yanawawasha mwili mzima siku nzima msimu mzima pole yenu Utopolo. Tangu Hamis Tambwe 2015/16 hamjui Kiatu cha dhahabu kinafananaje!
Alichowafanya ngao ya jamii kinatosha
 
Yani tuchukue ubingwa alafu tusiwe na furaha??
Makolo mmepanic kweri-kweri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona clip yake lakini? Analia huku anamfata kibenderaaa, mbavu cna uwiiiiiih.
Analalama huko wachezaji wenzake hawampi ushirikiano, woiiiiiiih.

Sisi tulivyokua tunachukua ndoo, na wafungaji bora tunatoa tena sio m1 ? Ni wengi afu wanafuatana sasa.

Record mliyoweka leo, Simba na Azam zilishafanya hivyo Zaman.

Mpoleeeeeee kasimamisha jiji, katuliza wenge la vumbi la salamander tower. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaelewa mmmmmh
 
Imeisha hiyooo kiatu wasubiri vya gsm
 
 
All in all, Tanzania tuna uhaba mkubwa wa waamuzi wenye uwezo wa kuzisimamia sheria 17 za soka kwa usahihi. Kiukweli wengi tulio nao ni majanga.
 
Muhimu ni Yanga kutwaa ubingwa au ufungaji bora wa Mayele ?
 
Mayele ameshindwa kuyafikia hata magoli ya HERITIER MAKAMBO Msimu wa 2018/2019 yaani magoli 19 na alizidiwa na MEDDIE KAGERE akimaliza msimu na magoli 23.

YANGA tatizo lenu mlidhani mayele ni bora mno, lakini ni mchezaji wa kawaida tu hawezi hata kufikia rekodi ya AMISS TAMBWE!
 

Daah, umeandika kwa uchungu sana. Pole ndugu

 
Inahuzunisha sana kuona golikipa anazuia Mayele asifunge goli

 
Sijaelewa mmmmmh
Kwani uelewe kiatu cha TFF kipo jangwani? Kiatu kipo mgodini huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…