Mayele kasaini kandarasi ya miaka mitatu, kuitumikia simba msimu ujao

Escotter20

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
505
Reaction score
960
Zilizotufikia....

Mayele ni mwekundu.

Viongozi wa simba wameua ndege wawili kwa jiwe moja,wameitumia safari ya Simba Misri kumsajili MAYELE.

unaambiwa Mayele katumiwa form ya usajili kwenye simu,na ameshasaini mkataba wa miaka mitatu ,hivyo kuanzia msimu ujao atachukua namba ya fred ambaye ataenda kwa mkopo katika timu ya PYRAMIDS

Hapo tunakuwa tumefanya EXCHANGE

BIG UP SANA UONGOZI WA SIMBA.
 

Attachments

  • 1712258341118.jpg
    261 KB · Views: 10
Acheni propaganda, yale yale ya Manzoki.

Kila kitu taarabu.

Mimi ni mpenzi wa Simba ila ninachoamini toka kwenye uongozi wetu huwa ni taarifa za kuachwa kwa wachezaji au zile za kufungwa, kusare au kushinda uwanjani baada ya mechi.
 
Mara paap! Ni ukweli.
 
Makolo mnachekesha sana.

Hilo garasa halina jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…