Mayele kasaini kandarasi ya miaka mitatu, kuitumikia simba msimu ujao

Badala mjikite kwenye mechi yenu mmeenda kushangaa pyramids?
 
Ni yale² ya Mix-son🤣
 
Sisi mashabiki wa simba hatumtaki huyo Mayele wenu mfuga majini! Sisi mashabiki lialia wa simba tunamtaka Mwenyekiti wetu Murtaza Mangungu atuletee Caesar Manzoki!

Asipotuletea Manzoki, kwenye uchaguzi mkuu ujao hatumchagui tena. Haiwezekani alituahidi mwenyewe siku ile ya uchaguzi. Sisi mashabiki wa simba tumechoka kudharauliwa na viongozi wetu. 😭
 
Unaambiwa? Yaani ni kusadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…