samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Kuna wachambuzi mbuzi walimtoa kabisa eti wakampa Saido kwa lipi .Mayele anafahamika hadi Fainali huko
Hongera sana Yanga mmetwaa tuzo kibao
Hongera sana Yanga mmetwaa tuzo kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maoni yako angetajwa Nani ingekuwa Sawa?Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Mwenye rekodi boraKwa maoni yako angetajwa Nani ingekuwa Sawa?
Kama sio huyo ni mwamunyetoKwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Sasa unatuuliza kwani sisis tulikuwa kwenye kamati ya tuzo?Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Ungeweka huyo mwenye rekodi bora ,ukifananisha na za Job.Mwenye rekodi bora
HakikaUngeweka huyo mwenye rekodi bora ,ukifananisha na za Job.
Bakari NONDOKama sio huyo ni mwamunyeto
Hahaa,kiungo pundaHizo tuzo hata sikuhangaika kuangalia eti Mzamiru anashindania kiungo Bora wakati pasi zake za mwisho nyingi zinapotea huku Putin akiwekwa kando
Akamiko alikuwa kiungo Bora SanaHizo tuzo hata sikuhangaika kuangalia eti Mzamiru anashindania kiungo Bora wakati pasi zake za mwisho nyingi zinapotea huku Putin akiwekwa kando
Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Saidoo kachukua 3.Thimba hawjapata hata Moja? Maana walikuwa wanagombania kiatu tu.
Rage ajengewe sanamu.Thimba hawjapata hata Moja? Maana walikuwa wanagombania kiatu tu.
Kuchukua kombe hakuhusiani na kuhusika katika kila tuzo itolewayo.Hata wachezaji wa Man City wamekomba tuzo zote huko Europe
Inonga ulitaka apewe tuzo kwa kipi
Kuchukua kombe hakuhusiani na kuhusika katika kila tuzo itolewayo.
Tuzo inaangalia ubora, wakati ubingwa una aamuliwa kwa mfululizo wa matokeo.
Kwamba kuna mechi unaweza ukapata matokeo mazuri lakini usicheze vizuri, na ile timu uliyoifunga ikatoa mchezaji bora.
Kwa hiyo tuzo zinaangalia ubora haziangalii trophy.
Kwanza unatakiwa ujue when it comes to best defender award huwa hatuangalii beki wa upande ganiSawa kabisaa
Sasa tafuta data za Inonga na Job
Ili uwe una jibu sahihi