Mayele Mchezaji Bora wa Ligi ya NBC Tanzania 2022/23

Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo

Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.

Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously

Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Kwa maoni yako angetajwa Nani ingekuwa Sawa?
 
Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo

Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.

Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously

Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?

Hata wachezaji wa Man City wamekomba tuzo zote huko Europe

Inonga ulitaka apewe tuzo kwa kipi
 
Kuchukua kombe hakuhusiani na kuhusika katika kila tuzo itolewayo.

Tuzo inaangalia ubora, wakati ubingwa una aamuliwa kwa mfululizo wa matokeo.

Kwamba kuna mechi unaweza ukapata matokeo mazuri lakini usicheze vizuri, na ile timu uliyoifunga ikatoa mchezaji bora.

Kwa hiyo tuzo zinaangalia ubora haziangalii trophy.
 
Sawa kabisaa
Sasa tafuta data za Inonga na Job
Ili uwe una jibu sahihi
 
Sawa kabisaa
Sasa tafuta data za Inonga na Job
Ili uwe una jibu sahihi
Kwanza unatakiwa ujue when it comes to best defender award huwa hatuangalii beki wa upande gani

Bali linaangaliwa eneo lote la beki na kuchagua ni yupi kati yao alikuwa na stats nzuri.
 
Back
Top Bottom