Mayele Mchezaji Bora wa Ligi ya NBC Tanzania 2022/23

Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo

Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.

Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously

Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Ulitaka awe nani kwa ubora kisha tufanye uchambuzi ndugu mchambuzi
 
Labda tujiulize sifa ya kiungo Bora ni zipi,
Kuna viungo Waka Ajax, Kuna viungo wachezeshaji na Kuna viungo wenye sifa zote mbili.
Mzamiru anaangukia kwenye kundi la viungo wakabaji lakini unaweza kulinganisha uwezo wake na Putin?
Unajua maana ya kiungo punda? Huyo Kanute kafananishwa na Putini sababu ya fujo na rafu za hovyo kama mvamizi wa Ukraine.Anarusha mateke kama mcheza kungfuu,matokeo yake kadi na kuifanya timu ikose trophies.Mzamiru yeye anapiga kazi ikitokea kadi ni ajali kazini.
 
Punda ni mnyama anayetumia nguvu nyingi bila akili
 
Kwanza unatakiwa ujue when it comes to best defender award huwa hatuangalii beki wa upande gani

Bali linaangaliwa eneo lote la beki na kuchagua ni yupi kati yao alikuwa na stats nzuri.
inonga kacheza position/role ngap za ubeki kwenye pitch ukifanananisha na alizocheza dickson NBCPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…