sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Ulitaka awe nani kwa ubora kisha tufanye uchambuzi ndugu mchambuziKwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?