Mayele ndiye aliyewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita

Escotter20

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
505
Reaction score
960
πŸ“© Mayele ndiye alitewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita kwa kufunga magoli (14) kwenye ligi, alizidiwa goli moja tu na Jean Baleke wa Tp Mazembe (15).

01. ⚽ v DTB football club.
02. ⚽ + 🎯 v Friends Rangers.
03. ⚽ v Pan African football club.
04. ⚽ v DTB football club.
05. ⚽ v Simba sports club.
06. ⚽ ❎ v Geita gold.
07. ⚽ v JKU football club.
08. ⚽ + 🎯 v KMC football club.
09. ⚽ v Azam football club.
10. ⚽ v Mbeya Kwanza.
11. ⚽ v Biashara Utd.
12. ⚽ v Dodoma jiji.
13. ⚽ v Coastal union.
14. 🎯 v Polisi Tanzania
15. ⚽ v Mbao fc

Note ; Mayele tangu atue Yanga ameshafunga jumla ya magoli (⚽14) na assists (🎯3) kwenye michezo yote (17) aliyoanza kikosini πŸ™Œ

πŸ‘• 17 = Michezo aliyoanza.
⚽ 17 = Magoli aliyohusika.

πŸ“Œ Kwa hiyo kuhusu kufunga tu kwa huyu jamaa haijawahi kuwa tatizo kwake,, ni Mshambuliaji wa kisasa anayeweza kufunga kwa kila nyenzo.

βœ… Free kick ; Naona Yanga hawajajua kuhusu obora wake wa kufunga kupitia mipira iliyokufa,, kafunga sana Dr Congo πŸ‡¨πŸ‡©

βœ… Header ; Kwa kichwa.
βœ… Left foot & right foo.

πŸ” Tom cruz
 
Una uhakika As vita ni mabingwa wa msimu uliopita? Wadanganye utopolo wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…