kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Fiston mayele akifunga media nyingi za africa wanatangaza Goals au goal lake au zake tofauti na yule wa upande wa kule wanajaribu kumfanyia promotion lakini wapi hata kwao za(m) (b) (ia) utasikia general (hahahahahah a hahahahaha) Diamond (nyota ya umaarufu sikupapasa).
Watu tukubali tu fiston mayele ndo ambassada wa League ya Tanzania kimataifa.
Na leo nime shangaa kuona mpaka ndugu zake na general wana msifia kweli Na ndugu yao saluti yupo mtaani hapa
Watu tukubali tu fiston mayele ndo ambassada wa League ya Tanzania kimataifa.
Na leo nime shangaa kuona mpaka ndugu zake na general wana msifia kweli Na ndugu yao saluti yupo mtaani hapa