Mayele ni msaliti, anashiriki kuidondosha Yanga SC, huyu ni mhaini

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Kama inavyofahamika kuwa Fiston Kalala Mayele ndio key player wa yanga kwa sasa na ndio siri ya mafanikio waliyoyapata msimu ulioisha.

Hali hiyo imepelekea kupanda kwa thamani na kuwa bidhaa inayosakwa sokoni na vilabu vingi vya soka barani Afrika kwa sasa.

Kitendo hiko kimemfanya kuwadengulia yanga kusaini mkataba akidemand pesa ndefu ambazo yanga wanahaha usiku na mchana kumbembeleza aweze kushusha kiwango hicho....

Hii imepelekea uongozi wa yanga kuwa bize 24/7 kuhakikisha huyu mwamba wanabaki nae ,hali hii imefanya shughuli nyingine kusimama kwa muda ikiwemo suala la usajili na utambulisho wa wachezaji....

Majuzi walisema wanashusha mtu saa 9usiku ,cha kushangaza wakaleta habari za Mwanasheria wao kupewa nafasi FIFA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa ufupi uongozi umetingwa kwelikweli na washabiki hawaelewi wanavyoona vyuma vinazidi kutambulishwa huko Lunyasi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Wakifanikiwa kumpata Mayele ndio usajili wao mpya na watamtangaza saa 8 usiku muda ambao majini yanarudi baharini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wachezaji wazuri wanawataka ila ndio hivyo fwedha,fwedha wanataka wabaki na kachenji kakununulia mechi na marefa[emoji23]

View attachment 2682993
 
Ila ni haki yake kuangalia wap pana dau zuri akajiweka maana ndio mudda wake wa kula sioni kama anaihujumu yanga yy anaangalia maslahi yake
Tatizo ni uelewa,we hujaona kipindi cha fei alipodai kuongezwa maokoto kuna mamtu ya uto yakawa yanapanga bajet ya mil4 kama wao ndio wanalipwa????hawanaga akili timamu[emoji23]
 
Tatizo ni uelewa,we hujaona kipindi cha fei alipodai kuongezwa maokoto kuna mamtu ya uto yakawa yanapanga bajet ya mil4 kama wao ndio wanalipwa????hawanaga akili timamu[emoji23]
Mayele alichoona pale ni balaa litamkuta kaona awakatae kwa style hio
 
Usimba na Uyanga vs uwekezaji wa ndani kukuza vipaji vya vijana wa kitanzania ni changamoto sana
 
Aende tu penye hela ndefu. Uongozi wa Yanga pia wapuuzi tu. Wana letaje Kocha mbovu hivyo? Makombe yake ni ya kutafta kwa tochi? Kila timu amekaa si zaidi ya mwaka 1.
 
Kuna njia mbili kwa utopolo. Kupunguza mishahara ya wachezaji wengine na ya wafanyakazi Ili kumuongezea mayele mshahara au kumuuza wapate hela za kusajili wachezaji wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…