Mayele ni msaliti, anashiriki kuidondosha Yanga SC, huyu ni mhaini

Mayele ni msaliti, anashiriki kuidondosha Yanga SC, huyu ni mhaini

Kuna njia mbili kwa utopolo. Kupunguza mishahara ya wachezaji wengine na ya wafanyakazi Ili kumuongezea mayele mshahara au kumuuza wapate hela za kusajili wachezaji wengine.
Hii ni impact ya feisal saga mkuu,

Kumbuka anayemsimamia Mayele ndio huyohuyo anayemsimamia Feisal , mama Jasmine Razak...[emoji23]
Waliburuzana sana kipindi wanatafuta suluhu ya Fei,leo wameyakanyaga wawe wapole GOES AROUND,COMES AROUND...Huyu mama atawatoa nyongo
 
Tatizo wanachanganya kazi na ushabiki
 
Si tulikubaliana mayele yupo kwa mkopo ni mchezaji wa as vita lakini 🤣
 
Si tulikubaliana mayele yupo kwa mkopo ni mchezaji wa as vita lakini [emoji1787]
Na ndio maana mnahangaika kumsajiri sasa hivi,kwa maana kwamba hana mkataba na uto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na umri wake ndiyo kipindi cha kucheza mpira wa manufaa, sio kutetema huku unalipwa senti chache! Anngalia Wimbi la nyota wanaoenda huko uarabuni, unadhani wamekosa timu Ulaya?..hapana.
Kabisa
 
Mayele out
Baleke in
Taabu iko pale pale
 
Inaumaaa...mnyama anajiandaa na Super cup...
 
Kama inavyofahamika kuwa Fiston Kalala Mayele ndio key player wa yanga kwa sasa na ndio siri ya mafanikio waliyoyapata msimu ulioisha.
Hali hiyo imepelekea kupanda kwa thamani na kuwa bidhaa inayosakwa sokoni na vilabu vingi vya soka barani Afrika kwa sasa.
Kitendo hiko kimemfanya kuwadengulia yanga kusaini mkataba akidemand pesa ndefu ambazo yanga wanahaha usiku na mchana kumbembeleza aweze kushusha kiwango hicho....

Hii imepelekea uongozi wa yanga kuwa bize 24/7 kuhakikisha huyu mwamba wanabaki nae ,hali hii imefanya shughuli nyingine kusimama kwa muda ikiwemo suala la usajili na utambulisho wa wachezaji....

Majuzi walisema wanashusha mtu saa 9usiku ,cha kushangaza wakaleta habari za Mwanasheria wao kupewa nafasi FIFA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa ufupi uongozi umetingwa kwelikweli na washabiki hawaelewi wanavyoona vyuma vinazidi kutambulishwa huko Lunyasi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Wakifanikiwa kumpata Mayele ndio usajili wao mpya na watamtangaza saa 8 usiku muda ambao majini yanarudi baharini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wachezaji wazuri wanawataka ila ndio hivyo fwedha,fwedha wanataka wabaki na kachenji kakununulia mechi na marefa[emoji23]View attachment 2682994View attachment 2682995View attachment 2682993
Zile bilioni na chenji zikowapi? tuliwaambia mizania ya hesabu haiko sawa
 
...…Wakongo tunapenda pesa...Mayele
 
Nilikuwa mtu wa kwanza kusema kuwa Mayele yupo pale kwa mkopo, ndiyo maana unaona mvutano huu unaendelea pale. Kinachomuweka mpaka sasa ni kwa sababu tu Wakala wake hataki kuharibu mahusiano yake na Yanga ambapo anao wachezaji wengine na anataka wasimsusie kuchukua wachezaji wake wengine siku za mbele. Bila hivyo Mayele angekuwa kashasepa kwenda huko Uarabuni. Bila kuongeza mkwanja wa maana, mwana anatimka.
 
Back
Top Bottom