Kama inavyofahamika kuwa Fiston Kalala Mayele ndio key player wa yanga kwa sasa na ndio siri ya mafanikio waliyoyapata msimu ulioisha.
Hali hiyo imepelekea kupanda kwa thamani na kuwa bidhaa inayosakwa sokoni na vilabu vingi vya soka barani Afrika kwa sasa.
Kitendo hiko kimemfanya kuwadengulia yanga kusaini mkataba akidemand pesa ndefu ambazo yanga wanahaha usiku na mchana kumbembeleza aweze kushusha kiwango hicho....
Hii imepelekea uongozi wa yanga kuwa bize 24/7 kuhakikisha huyu mwamba wanabaki nae ,hali hii imefanya shughuli nyingine kusimama kwa muda ikiwemo suala la usajili na utambulisho wa wachezaji....
Majuzi walisema wanashusha mtu saa 9usiku ,cha kushangaza wakaleta habari za Mwanasheria wao kupewa nafasi FIFA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa ufupi uongozi umetingwa kwelikweli na washabiki hawaelewi wanavyoona vyuma vinazidi kutambulishwa huko Lunyasi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wakifanikiwa kumpata Mayele ndio usajili wao mpya na watamtangaza saa 8 usiku muda ambao majini yanarudi baharini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wachezaji wazuri wanawataka ila ndio hivyo fwedha,fwedha wanataka wabaki na kachenji kakununulia mechi na marefa[emoji23]
View attachment 2682994View attachment 2682995View attachment 2682993