Mkopo wa mda gani? hata kama ni ushabiki mchezaji kama Mayele anatolewa mkopo?Nilikuwa mtu wa kwanza kusema kuwa Mayele yupo pale kwa mkopo, ndiyo maana unaona mvutano huu unaendelea pale. Kinachomuweka mpaka sasa ni kwa sababu tu Wakala wake hataki kuharibu mahusiano yake na Yanga ambapo anao wachezaji wengine na anataka wasimsusie kuchukua wachezaji wake wengine siku za mbele. Bila hivyo Mayele angekuwa kashasepa kwenda huko Uarabuni. Bila kuongeza mkwanja wa maana, mwana anatimka.
Mayele wa sasa siyo yule aliyekuja Yanga. Wacongo huwa wanatoa wachezaji kwa mkopo ili mchezaji akiongezeka thamani wasiwe kwenye kifungo cha mikataba, waweze kupiga pesa ndefu. Hapa tulipo Mayele anaahidiwa hadi mashamba!Mkopo wa mda gani? hata kama ni ushabiki mchezaji kama Mayele anatolewa mkopo?
Ni sahihi, aangalie maisha yake.Ila ni haki yake kuangalia wap pana dau zuri akajiweka maana ndio mudda wake wa kula sioni kama anaihujumu yanga yy anaangalia maslahi yake
Makocha kulipwa kiduchu kuliko baadhi ya Wachezaji mbona kawaida hiyo. Kwa hiyo kisingizio cha kumzidi hata Nabi hakina mantiki.Kesho ndio hatima ya mayele itafahamika. Jamaa bado kakomaa anataka 50m yanga wamemdindia kua atafanya tofauti kubwa na wachezaji wenzake hivyo kushusha ari ya wachezaji wengine.
Ikimbukwe hii pesa anayobargain hata ticha Nabi hakufikia huko.
Mbona mnaongea kuhusu yanga na yanga wenyewe hawasemi kitu. Mmetumwa?Washabiki wa uto wamekuwa mazombi,Wamekuwa kama wafuasi wa zumaridi hawalali wakiamka patupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Mara saba usiku,mara tisa alfajir nyieeeeeeeeee
yani watu wamenyamaza ila muwasho wanausikia wao.Mbona mnaongea kuhusu yanga na yanga wenyewe hawasemi kitu. Mmetumwa?
Sasa kama yupo kwa mkopo kwanini asiondoke wana discuss nini?Mayele wa sasa siyo yule aliyekuja Yanga. Wacongo huwa wanatoa wachezaji kwa mkopo ili mchezaji akiongezeka thamani wasiwe kwenye kifungo cha mikataba, waweze kupiga pesa ndefu. Hapa tulipo Mayele anaahidiwa hadi mashamba!
Ningekuwa Yanga ningemuacha asepe sasa hivi, mshukuruni alipowafikisha, mweke Musonda pale kati maisha mengine yaendelee. Mkiongea vizuri na sisi tunaweza kuwapa Baleke.
Kwa swali hilo, jibu lake lipo post yangu ya nyuma uliyoniquote kabla.Sasa kama yupo kwa mkopo kwanini asiondoke wana discuss nini?
Wanakera sana dahRubbish.
Waseme nini wakati wamevurugwa...wakimlipa pesa nyingi Mayele na wengine wanalianzisha.Mbona mnaongea kuhusu yanga na yanga wenyewe hawasemi kitu. Mmetumwa?
Umesema asiwe kwenye kifungo cha mkataba sasa wana discuss nini na mtu asie na mkataba? mimi kwa masikio yangu nlimsikia Mayele anasema ana mkataba na Yanga na hayupo kwa mkopo sasa nikuamini wewe au yeye?Kwa swali hilo, jibu lake lipo post yangu ya nyuma uliyoniquote kabla.