- Thread starter
- #101
Implication yake ni nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unateseka ukiwa wapiImplication yake ni nn
Unateseka ukiwa wapi
Morrison na Inonga walidhibitiwa na dogo Kibwana, hawakufurukuta.
Muulize Inonga na Onyango walivyofurahi Mayele kutoka, ilikuwa ahueni kwao.Tangu masele atue yanga amecheza mechi Saba tu za kimashindano lakini ana jina kubwa sana hapo Tz ambalo hastahili kuwa nalo kulingana na stats. Na hapa ndipo uzuzu wa hawa ndugu zetu unapoonekana.
Ukiangalia harahati zake uwanjani na namna alivyokuwa akiwaweka roho juu walinzi wa kati wa Simba, ni wazi kuwa Mayele ni mshambuliaji hatari na pengine kwa sasa hakuna kama yeye kwa timu zote -- Simba na Yanga.
Ongezea/punguza/sema ukijuacho, usitukane
Jamaa yuko vizuri
kuna vitu ma striker wazawa wanapaswa kujifunza kutoka kwa mayele