Mayele to Pyramid is almost a deal done!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
BREAKING NEWS!

Majadiliano ya muda mrefu baina ya uongozi wa Yanga SC na Fiston Kalala Mayele yamefikia tamati kwa mshambuliaji huyo kuuambia uongozi kuwa anahitaji kupata changamoto mpya.

Fiston alibakisha mkataba wa mwaka mmoja na mabingwa hao watetezi wa ligi kuu Tanzania bara.

kutoka kwenye chanzo cha kuaminika Fiston Kalala Mayele atakua mshambuliaji mpya wa klabu ya Pyramid FC ya nchini Misri.

BIASHARA:
Biashara ya kwanza ya team ni kuuza wachezaji, Yanga imevuna kiasi cha takribani 2B kwenye uhamisho wa mshambuliaji wao nyota. Pongezi kwa klabu na uongozi kwa ujumla kwa kufanya maamuzi ya kimpira na kuingizia klabu kiasi cha pesa kitakacho fanikisha ujenzi mpya wa kikosi na miundombinu ya klabu.

Kamanda Fiston Mayele kila lakheri..
 
Yanga mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Mchezaji wa mkopo halafu mnadai mmeingiza bilioni 2, tunawazoom tu
Lini ulitamani usikie habari nzuri za Yanga okay hatujaripwa. Ila haibadilishi ukweli kama tumelipwa na kama hujui wakili wa Fei ndio meneja wa Mayele, so kama ingekuwa yupo kwa mkopo wasingesita kumuuza bila izini ya Yanga.
 
Kama ni kweli itakuwa jabo jema, mpira ni biashara, unauza na kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…