Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha,nadhni hata mameja wao hawana connectionWazawa wazee wa kurizika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha,nadhni hata mameja wao hawana connectionWazawa wazee wa kurizika.
Ndio mpira upo hivyo, Man hawakupenda kumuachia CR7 kwenda Madrid, Tores kwenda Chelsea, Shevchenko kwenda Chelsea. Kuna kipindi hela huamua mstakabali wa mchezaji na kwa faida ya pande mbili.Watatuambia wamefanyia biashara/ wamepiga Hela...ila yote kwa yote wameathirika
Hata mameneja wakiwa na connection tatizo ni wachezaji wenyewe.Hahahaha,nadhni hata mameja wao hawana connection
Dah,basi kazi ipoHata mameneja wakiwa na connection tatizo ni wachezaji wenyewe.
Mfungaji bora 2022/2023Saidoo mchezaji mkubwa 😂
Masahihisho kidogo sio 2b bali ni 4bSababu alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Yanga,mwenye maamuzi ya mwisho ni Yanga. Nilisikia tetesi Pyramid walikuja Tz wao wenyewe kuongea na Yanga.
Kwa hiyo nyie Kolo FC mnacho chukia kusikia Yanga kalipwa 2bil ila mmefurahi Mayele kuuzwa. Ndio mpira ulivyo mchezaji akitaka kumove KAMA procedures,makubaliano yame fikiwa kila pande imerizika mnafanya biashara.
Na kama hujui kwa Fei Yanga kakunja 270m uchukie na hapo.
Wazawa wenyewe ni jamii ya kina Fei usisahauIla ingependeza wazawa nao wajitume wanunuliwe kama hao wageni, maana wamekuja na kuondoka wao wapo tu ,hapa hapa
Sasa mbona haonekani huko dunianiMfungaji bora 2022/2023
Kiungo bora 2022/2023
Kikosi bora 2022/2023
Fair play 2022/2023
Kwa mkopo jmn mbna mzushi hvYanga mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Mchezaji wa mkopo halafu mnadai mmeingiza bilioni 2, tunawazoom tu
Ni Jambo jema ila HV tuisheje mjinj Kama staraika ndio mzize na msonda nina mashaka sna mkuuKila la heri huko aendako.
Nadhani wanatakiwa sasa wajifunze zaidi kwa wenzao kuanzia wachezaji hadi mameneja wao,wabadilikiWazawa wenyewe ni jamii ya kina Fei usisahau
Unaona utofauti kati ya Wazawa na Wageni
Wakati Wageni wanafuata protocols,wazawa wanaleta uhuni
Club ipi inayojielewa itamchukua mhuni
Na mihogoAmechoka Ugali Na Sukari
Duuuh kweli wewe ndo mbumbumbu nambari 1 huko umbumbumbuniYanga mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Mchezaji wa mkopo halafu mnadai mmeingiza bilioni 2, tunawazoom tu
Sidhani kama viongozi watakuwa ni vilaza kiasi hicho. Naamini watafanya tu usajiki makini wa mshambuliaji hatari, atakayeingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.Ni Jambo jema ila HV tuisheje mjinj Kama staraika ndio mzize na msonda nina mashaka sna mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama ni mkopo asingejadiliana na yanga angejadiliana na as vitaYanga mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Mchezaji wa mkopo halafu mnadai mmeingiza bilioni 2, tunawazoom tu
Simba hadi leo hawana kipaMayele alivyoona usajili wa Simba ulivyo mkubwa ameamua kutupa taulo mapema kuepusha lawama maana stori ya wananchi alishawahi kuambiwa kuwa hawa watu ni wepesi mno kusahau
Broo usipokee hela kwa shingo upande,😂😂😂😂😂Acha Aende Zake Tu Akavune Kile Atakachopanda Misri