Mayele to Pyramid is almost a deal done!

Huo uhakika kuwa wamemuuza kwa idhini ya Yanga ndio unahitajika sasa
Sababu alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Yanga,mwenye maamuzi ya mwisho ni Yanga. Nilisikia tetesi Pyramid walikuja Tz wao wenyewe kuongea na Yanga.

Kwa hiyo nyie Kolo FC mnacho chukia kusikia Yanga kalipwa 2bil ila mmefurahi Mayele kuuzwa. Ndio mpira ulivyo mchezaji akitaka kumove KAMA procedures,makubaliano yame fikiwa kila pande imerizika mnafanya biashara.

Na kama hujui kwa Fei Yanga kakunja 270m uchukie na hapo.
 
Mleta mada unajua maana ya Breaking News?
 
Lini ulitamani usikie habari nzuri za Yanga okay hatujaripwa. Ila haibadilishi ukweli kama tumelipwa na kama hujui wakili wa Fei ndio meneja wa Mayele, so kama ingekuwa yupo kwa mkopo wasingesita kumuuza bila izini ya Yanga.
Dunia ya sasa danganya uumbuke. Vina muda basii. Huyo meneja wake hajawahi kusema kuna ofa imepelekwa Yanga
 
Watatuambia wamefanyia biashara/ wamepiga Hela...ila yote kwa yote wameathirika
 
Dunia ya sasa danganya uumbuke. Vina muda basii. Huyo meneja wake hajawahi kusema kuna ofa imepelekwa Yanga
Sasa kipi kimedanganywa kama mkataba wa mwaka mmoja mbona yy mwenyewe ashawahi kuzungumza anamkataba wa mwaka mmoja na Yanga.

So wewe ulicho kasirika Yanga kuchukua 2bil,ila ulicho furahi Mayele kuuzwa.

Sasa kama ujui Fei kauzwa kwa 270m kasirika na hapa.

Halafu kwenye mpira kuna negotiations kati ya timu na mchezaji,then timu na timu, meneja yy atadeal na negotiations kati yake na mchezaji ndipo anaoo husika si timu na timu yy hausiki hapo, mfuatilie hata Frabrizio Romano kidogo utaelewa usajili una fanyikaje.

Sema huku tunakosea wenzetu anaye husika na negotiation ni wakala,ila bongo kama kawaida tumeshindwa kutofautisha role ya wakala,mwanasheria,wakala na meneja.

Ila negotiations kati ya timu na timu ,wakala wa mchezaji hausiki hata kidogo na ndio maana sometimes, mchezaji anaweza kukubaliana na club inayo mtaka,ila hiyo Club inayo mtaka ilashindwa kukubaliana na timu inayo mmiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…