Mayele to Pyramid is almost a deal done!

Watatuambia wamefanyia biashara/ wamepiga Hela...ila yote kwa yote wameathirika
Ndio mpira upo hivyo, Man hawakupenda kumuachia CR7 kwenda Madrid, Tores kwenda Chelsea, Shevchenko kwenda Chelsea. Kuna kipindi hela huamua mstakabali wa mchezaji na kwa faida ya pande mbili.
 
Masahihisho kidogo sio 2b bali ni 4b
 
Wazawa wenyewe ni jamii ya kina Fei usisahau
Unaona utofauti kati ya Wazawa na Wageni
Wakati Wageni wanafuata protocols,wazawa wanaleta uhuni
Club ipi inayojielewa itamchukua mhuni
Nadhani wanatakiwa sasa wajifunze zaidi kwa wenzao kuanzia wachezaji hadi mameneja wao,wabadiliki
 
Yanga mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Mchezaji wa mkopo halafu mnadai mmeingiza bilioni 2, tunawazoom tu
Duuuh kweli wewe ndo mbumbumbu nambari 1 huko umbumbumbuni
Yani jambo la wazi unajipofua mkuu
 
Ni Jambo jema ila HV tuisheje mjinj Kama staraika ndio mzize na msonda nina mashaka sna mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sidhani kama viongozi watakuwa ni vilaza kiasi hicho. Naamini watafanya tu usajiki makini wa mshambuliaji hatari, atakayeingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.
 
Mayele alivyoona usajili wa Simba ulivyo mkubwa ameamua kutupa taulo mapema kuepusha lawama maana stori ya wananchi alishawahi kuambiwa kuwa hawa watu ni wepesi mno kusahau
Simba hadi leo hawana kipa
Kocha hayuko na team
Wachezaji waandamizi wapo mjini dar
Turkey kuna simba B imefata ngada ya mo
Next season kipigo kipo pale pale
Na hatutaki malalamiko kutoka ukoloni huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…