NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jul 17, 2023 #101 F KJ07 said: Wapi nimemtaja makambo Click to expand... FUmbua.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Jul 17, 2023 #102 hyo hela haijatoka.ni uongo
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Jul 17, 2023 #103 Scars said: Mayele alivyoona usajili wa Simba ulivyo mkubwa ameamua kutupa taulo mapema kuepusha lawama maana stori ya wananchi alishawahi kuambiwa kuwa hawa watu ni wepesi mno kusahau Click to expand... Kwa sasa mtajifariji sana. Ila nisikufiche kuandoka kwa Mayele kazi bado mnayo maana kwa usajili unaofanyika sijui mtajifichia wapi?
Scars said: Mayele alivyoona usajili wa Simba ulivyo mkubwa ameamua kutupa taulo mapema kuepusha lawama maana stori ya wananchi alishawahi kuambiwa kuwa hawa watu ni wepesi mno kusahau Click to expand... Kwa sasa mtajifariji sana. Ila nisikufiche kuandoka kwa Mayele kazi bado mnayo maana kwa usajili unaofanyika sijui mtajifichia wapi?
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Jul 17, 2023 #104 New City said: Sasa mbona haonekani huko duniani Maana hatujasikia hata tetesi ya kuuliziwa Click to expand... Simba ni dunia tosha. Yanga dunia yake ni Pyramids
New City said: Sasa mbona haonekani huko duniani Maana hatujasikia hata tetesi ya kuuliziwa Click to expand... Simba ni dunia tosha. Yanga dunia yake ni Pyramids
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Jul 17, 2023 #105 Kilimbatzz said: Bora aende Ili Simba wapumue Click to expand... Alikuwepo na Yanga akabugia 2-0
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Jul 17, 2023 #106 Southern Highland said: Kwa sasa mtajifariji sana. Ila nisikufiche kuandoka kwa Mayele kazi bado mnayo maana kwa usajili unaofanyika sijui mtajifichia wapi? Click to expand... Nani hao, Mkude na Kibabage?
Southern Highland said: Kwa sasa mtajifariji sana. Ila nisikufiche kuandoka kwa Mayele kazi bado mnayo maana kwa usajili unaofanyika sijui mtajifichia wapi? Click to expand... Nani hao, Mkude na Kibabage?