Ni takribani wiki moja tangu Mbunge Mnyeti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutamka hayo, ila Mayele akilitaka atalipata kwenye Ansad za Bunge aliposemwa vibaya na mbunge huyo.
Kwa hali ya kusikitisha Mnyeti alimsema Mayele vibaya, namnukuu, "Mh Spika mimi kama Mbunge nasikitika kusikia vijana wetu wanao jitolea katika ulinzi wa amani huko nje wanakufa, wakati huo tuna mtu anajitia kutetema, eti kisa kafunga magoli."
Hii kauli haina tofauti na kauli aliyoambiwa Fei Toto yakuwa nanukuu "We nasIkia unauza mechi, ntakurudisha kwenu Pemb!" Hii ni kauli ya kibaguzi.
Nashauri Mayele na Fei Toto vunjeni mkataba na hawa watu haraka, wanachuki na nyie.
Ni takribani wiki moja tangu mbunge mmoja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jina kapuni ila Mayere alikitaka atalipata kwenye ansad za Bunge alipo semwa vibaya na mbunge huyo.
Kwa Hali ya kusikitisha mbunge huyo alimsema Mayere vibaya,namnukuu"
Mh Spika Mimi kama mbunge nasikitika kusikia vijana wetu wanao jitolea katika ulinzi wa Amani huko nje wanakufa,wakati huo tuna mtu anajitia kutetema eti kisa kafunga magori"
Hii kauli Haina tofauti na kauli aliyoambiwa fei toto yakuwa nanukuuu"we naskia unauza mechi ntakurudisha kwenu Pemba" hii ni kauli ya kibaguzi
Nashauri Mayele naFei toto vunjeni mkataba na Hawa watu haraka wanachuki na nyie.
Ni mjinga tu kama wajinga wengine tunaowafahamu...... aende na yeye akateteme aone kama ni rahisi au akaipigane hiyo vita badala ya hao vijana, kuiendesha timu yake ya Gwambina tu Kashindwa, mfyuuuuuuu
Kila mtu na profession yake, huyo mbunge ni mpumbavu tu, Hao wanaokufa huko ndo kazi waliochagua na ndo inayowaingizia kipato Chao!! Kwa io anataka mayele aache kucheza mpira akapigane kwao sio?? Pumbavu!!! Asilete siasa kwenye mambo ya kijeshi
Hivi kwa Nini wabunge wa Marekani na wanaoitwa mabeberu hawajasoma kama wa kwetu lakini mambo yao Yako pia. Kwetu wenye PhD wamejaa Kibao bungeni lakini hoja zao ni vioja. Hawana hata uwezo wa kukemea mambo ya aibu na fedheha yatokeapo mjengoni. Shame upon them.
Yanga ikifungwa tarehe 3 kule Algeria hakika Nyuzi za makasiriko na matusi dhidi ya kila wanayemwona amewakwamisha zitakua nyingi sana. Hakika mfa maji haishi kutapa tapa poleni Utopolo. Kauli ya Mnyeti ina miaka lkn inakuja leo kisa hasira za Waarabu. Mwaka huu tutaona Mengi.