sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Ni takribani wiki moja tangu Mbunge Mnyeti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutamka hayo, ila Mayele akilitaka atalipata kwenye Ansad za Bunge aliposemwa vibaya na mbunge huyo.
Kwa hali ya kusikitisha Mnyeti alimsema Mayele vibaya, namnukuu, "Mh Spika mimi kama Mbunge nasikitika kusikia vijana wetu wanao jitolea katika ulinzi wa amani huko nje wanakufa, wakati huo tuna mtu anajitia kutetema, eti kisa kafunga magoli."
Hii kauli haina tofauti na kauli aliyoambiwa Fei Toto yakuwa nanukuu "We nasIkia unauza mechi, ntakurudisha kwenu Pemb!" Hii ni kauli ya kibaguzi.
Nashauri Mayele na Fei Toto vunjeni mkataba na hawa watu haraka, wanachuki na nyie.