Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji23]"Penalti za ndani ya uwanja ni goals kama goals zingine. Ligi nyingi kubwa tier ya kwanza ni assist then dk alizocheza."
Sawa nchi inauzwa hii endeleeni tu kubishana...
Makolokolo yanajaza seva tu JF, yani hata uyawekee sheria za TFF bado ni matukutu kama mawe ya baharini yanapigwa na mawimbi kutwa ila hayatakati.Assist hazijawahi kuwa gori, tuzo n ya mfungaji bora Wala sio ya mtoa assist.
Acha kelele wewe pang'ang'a la kitopolo subirini Kiatu kiende kwa mwenyewe...Ntibazonkiza...utashindwaje striker na kiungo?? Yani mnalinganaje magoli.. 😆 😆Makolokolo yanajaza seva tu JF, yani hata uyawekee sheria za TFF bado ni matukutu kama mawe ya baharini yanapigwa na mawimbi kutwa ila hayatakati.
Mudi legeza kidogo Makolokolo yamekaribia kuwehuka maana 2022 yalishangilia kombe la kiatu cha mfungaji bora Mpole, yanateseka kuona 2023 yule yule wasiyempenda "F Mayele anaendelea kutetema na kuwania kiatu cha mfungaji bora wa NBC PL 2023 ilihali Mipang'ang'a haina kombe lolote [emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mkuu ikitokea wamelingana magoli kama ilivyo kwa hao miamba wawili we utatumia kigezo kipi kumpata mfungaji bora? Hiyo ndiyo hoja ya msingi , ebu sasa toa ushauri nini kifanyike.Assist hazijawahi kuwa gori, tuzo n ya mfungaji bora Wala sio ya mtoa assist.
Kanuni hazi tambui assist wana angalia magoli ya open playMkuu ikitokea wamelingana magoli kama ilivyo kwa hao miamba wawili we utatumia kigezo kipi kumpata mfungaji bora? Hiyo ndiyo hoja ya msingi , ebu sasa toa ushauri nini kifanyike.
MbumbumbuMajina yote haya ukiyaweka kwenye mzani dhidi ya utopolo. Mzani utaegemea wapi?
Safi sana mkuu, umetisha.
Wote ni wafungaji wa magoli sawa hivyo kwakuwa Tff na kanuni zao hazihaweka bayana nini kifanyike njia pekee ni wote wape haki yao kwa usawa.Mkuu ikitokea wamelingana magoli kama ilivyo kwa hao miamba wawili we utatumia kigezo kipi kumpata mfungaji bora? Hiyo ndiyo hoja ya msingi , ebu sasa toa ushauri nini kifanyike.
Wewe nae kisimbuzi huwa kinakuwasha kweli!! Ko Sarah, son walikuwa ni strikers?.Acha kelele wewe pang'ang'a la kitopolo subirini Kiatu kiende kwa mwenyewe...Ntibazonkiza...utashindwaje striker na kiungo?? Yani mnalinganaje magoli.. 😆 😆
Duh,ndio maana bandari inauzwaAkiwa anapewa pasi tayari watu watatu wapo pembeni yake kuhakikisha haendi popote na mpira (Huyu mayele) vs akiwa na mpira ama anapewa pasi yupo peke yake, na anaangalia uwezekano wa kutoa pasi kwa mshambuliaji ama kiungo mwengine ili atengewe ashinde (Huyu ni saidoo)
Anayekabwa na kuogopwa asiscore vs Anayekuwa free na mpira na kuangalia afungie upande gani
"Penalti za ndani ya uwanja ni goals kama goals zingine. Ligi nyingi kubwa tier ya kwanza ni assist then dk alizocheza."
Sawa nchi inauzwa hii endeleeni tu kubishana...
Kwa NINI mnataka taratibu zibadilike leo na siku zote TFF walishafafanua??Kazi kubwa ya foward no.9 ni kufunga kufunga kufunga ikitokea kakosea anatoa mapande ila kazi kubwa ya kiungo mshambuliaji yaani midfield ni kugawa mapande na kupika magoli kufunga ni ziada.
Sasa mshambuliaji vs Kiungo wakilingana idadi ya magoli ni nani atastahili kupewa? Utajaza.
Bodi ya ligi ya kibongo itaamua hili kwa siasa, as long as ni simba vs yanga hapa itasagwa na zitatembea mwisho wa siku wataleverage kuwa wote wagawane kiatu.
Ni ujuha eti kifungu cha kanuni kiko silence hadi wategemee FIFA ama CAF ambao nao wana uamuzi tofauti.
Penalti za ndani ya uwanja ni goals kama goals zingine. Ligi nyingi kubwa tier ya kwanza ni assist then dk alizocheza.
KWA NINI MNALIONGELEA HILI LEO"Penalti za ndani ya uwanja ni goals kama goals zingine. Ligi nyingi kubwa tier ya kwanza ni assist then dk alizocheza."
Sawa nchi inauzwa hii endeleeni tu kubishana...
Unawashwa mk ww sarah ndo nani??Wewe nae kisimbuzi huwa kinakuwasha kweli!! Ko Sarah, son walikuwa ni strikers?.