Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Kazi kubwa ya foward no.9 ni kufunga kufunga kufunga ikitokea kakosea anatoa mapande ila kazi kubwa ya kiungo mshambuliaji yaani midfield ni kugawa mapande na kupika magoli kufunga ni ziada.
Sasa mshambuliaji vs Kiungo wakilingana idadi ya magoli ni nani atastahili kupewa? Utajaza.
Bodi ya ligi ya kibongo itaamua hili kwa siasa, as long as ni simba vs yanga hapa itasagwa na zitatembea mwisho wa siku wataleverage kuwa wote wagawane kiatu.
Ni ujuha eti kifungu cha kanuni kiko silence hadi wategemee FIFA ama CAF ambao nao wana uamuzi tofauti.
Penalti za ndani ya uwanja ni goals kama goals zingine. Ligi nyingi kubwa tier ya kwanza ni assist then dk alizocheza.