Mayele vs Ntibazonkiza ni Mshambuliaji vs Kiungo

Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
 
Assist hazijawahi kuwa gori, tuzo n ya mfungaji bora Wala sio ya mtoa assist.
Hili lipo wazi Sana! Tunajadili mfungaji bora, kinachotakiwa kuangaliwa ni magoli aliyofunga muhusika! Assist sio goli iweje iwekwe kama kigezo Cha kumpata mfungaji bora? Kinachoangaliwa ni magoli mangapi yamefungwa, kama yanalingana basi tuangalie namna gani hayo magoli yamefungwa! Mwenye magoli mengi ya penati yasiyo ya penati apewe kiatu. Kama hapa pia watalingana basi tuangalie mechi walizocheza Hadi kufikia hiyo idadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…