Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Kwakuwa ndugu yako kolo kaandika cha maana sana..??Duh,ndio maana bandari inauzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakuwa ndugu yako kolo kaandika cha maana sana..??Duh,ndio maana bandari inauzwa
Hili lipo wazi Sana! Tunajadili mfungaji bora, kinachotakiwa kuangaliwa ni magoli aliyofunga muhusika! Assist sio goli iweje iwekwe kama kigezo Cha kumpata mfungaji bora? Kinachoangaliwa ni magoli mangapi yamefungwa, kama yanalingana basi tuangalie namna gani hayo magoli yamefungwa! Mwenye magoli mengi ya penati yasiyo ya penati apewe kiatu. Kama hapa pia watalingana basi tuangalie mechi walizocheza Hadi kufikia hiyo idadi!Assist hazijawahi kuwa gori, tuzo n ya mfungaji bora Wala sio ya mtoa assist.