Mayele yuko Pyramid Mpole yuko Pamba

Mayele yuko Pyramid Mpole yuko Pamba

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Nikikumbuka zile mbio za top scorer kati Yao na kilichopo Sasa basi nakuombea mpole arejee kwenye kile kiwango huku nikijiuliza ni Nini kimetokea
Maana hajazeeka na Wala kunenepa yuko vile vile
 
Kipindi kile hata wenyewe walikuwa wanajua mkali nani. Ndio maana ulikuwa ukiwauliza kama wewe ndio kocha kati ya Mayele na Mpole utamsajili nani? Walikuwa wanajibu utajua wewe.
 
Ile safari ya mpole kutoka geita kuelekea Congo haikuwa sahihi kabisa ni bora angeenda hata hizi team za kariako maana zimukuwa zinamhitaji sana kipindi kile
Uko sahihi au hata Azam basi maana kwa viungo wa Azam angeshine ila kwenda Kongo alipotea sana
 
Back
Top Bottom