Mayelle alichagua fedha badala ya furaha.

Mayelle alichagua fedha badala ya furaha.

Na wewe? Umechagua nini kwenye maisha yako?
 
Hata mimi chaguo langu ni pesa wala si furaha,et tena furaha ya watu wengi!hapana
 
Haya ndiyo majini sasa, maana unaondoka lakini yanakufuata tu. Sasa kukosa furaha kwa Mayele kuna hasara au faida gani kwako na kwa familia yako?
Kazini kwake kuna kazi
 
Yanga imeshatinga robo finali Caf champions, vipi Pyramids? unataka kusema hajutii kuondoka Yanga?
 
Back
Top Bottom