Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Ila ni tamu hiyo, nikiweka kwenye mkate namaliza mfuko
Dah!Raha ya mkate upake blue band then jam halafu mwagia *mayonnaise* kama unatengeneza sandwich vilee
Hii kitu kutembea kwangu kote Tz na nchi za mbali sikuwahi kuipenda katu.
Au kwa kuwa sili mayai....yaani nikikuta chips ina mayonnaise, niko radhi nioshe chipsi moja moja na maji ndio nile lau nisile tu