Ila ni tamu hiyo, nikiweka kwenye mkate namaliza mfuko
Dah!Raha ya mkate upake blue band then jam halafu mwagia *mayonnaise* kama unatengeneza sandwich vilee
Duh Pole ni tamu mi naipendaDah!
Hii kitu kutembea kwangu kote Tz na nchi za mbali sikuwahi kuipenda katu.
Au kwa kuwa sili mayai....yaani nikikuta chips ina mayonnaise, niko radhi nioshe chipsi moja moja na maji ndio nile lau nisile tu
Kweli kila mtu na choice yake.Duh Pole ni tamu mi naipenda
MhIla ni tamu hiyo, nikiweka kwenye mkate namaliza mfuko
Basi mimi siku zote nikifikiri mayonnaise ina mtindi.Inatengenezwa kwa mafuta ya kupikia..olive oil au mafuta ya alizeti double refined, mayai mabichi, vinegar na mustard!
.
.
Haipikwi. Kila kitu kibichi!
Kiasi...ila sio kama proffession.Are u a chef?