Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
hilo neno la "uzalendo" mimi ndiyo silitaki kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 wanasema inaongeza makalio, sa sijui ni stori za vijiweni au la
Wakati naanza kupitia comments akili yangu ilishajitaarisha kukutana na mchango kama huu 😤Naskiaga hayo Mayonnaise naskia sio Mazuri kwa wanaume ?? Sijajua Shida nini
Anaunga mkono juhudi ya Serikali ya Kizalendo na Viwanda ya HAWAMU ya Tano.hilo neno la "uzalendo" mimi ndiyo silitaki kabisa.
Ya kuonja bossJipatie mayonnaise nzuri.
Q MAYONNAISE ni nzuri, bora na ya kizalendo na kwa bei rahisi sana, jumla na rejareja, tunakufikishia popote hapa DSM, tunatuma kwa waliopo mikoani.
Inapatikana kwa ujazo wa 500gram.
Bei ya rejareja Ni Tsh 5500/-
Bei ya jumla ukichukua kuanzia nusu katoni Tsh 28,800/- sawa na Tsh 4800/- kwa moja.
Tupigie tukuletee sasa utumie ya kizalendo na bei rahisi Bei ya faida.
Mob: 0785022177
email qtholdingsltd@outlook.com
View attachment 1389693
Sent using Jamii Forums mobile app