Mayor wa Kampala alaumu Diamond kulipwa zaidi ya milioni 100 peke yake

Wasijali pesa zote atamuhonga Zari then zitarudi kwao indirect
 
Yaani hakuna soko gumu kupenya Afrika Mashariki kama Uganda!!! Waganda huwaambii kitu na dancehall zao lakini kama jamaa amepenya hadi kufahamika kwamba yeye ndie chaguo la mashabiki, basi jamaa wamwache tu!!!

Hapa ndipo napata picha kwanini Uganda siku hizi haisikiki! Yaani Bongo Flavor imeanza kuizima Kenya na sasa inaaza kuizima Uganda!!!

Hili ni jambo la kujivunia! I wish watu wangefahamu impact ya jambo kama hili lakini ndo kwanza anatokea ju'ha mmoja anakuambia wakata mauno tu hao!!!
 
Nafikiri Meya wa Kampala angeelekeza lawama zake kwa Museveni anayejifanya yeye ndio katiba ya Uganda kuliko hizi mambo nyingine!
 
Tukubali tukatae nyota ya chalii kwa sasa ipo vrz,whether tupo team Kiba,Aslei au team shish bby
 
Anakomaa nini na wakati watu wamesaini mkataba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…