Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo kiba wako milioni mbili anapiga show za sinza mori .Shs 108 Million ni Hela za Uganda... Acheni kubabaika.
Ambayo ni zaidi ya 65M ya Tanzania!! Ushawahi kushika kiwango kama hicho?Shs 108 Million ni Hela za Uganda... Acheni kubabaika.
Muachege wivu khaaa,we unazo???Convert 108m UG Shillings kwa USD ni takataka tu.
Wewe umelipwa 108Million za Kenya mjomba????.Shs 108 Million ni Hela za Uganda... Acheni kubabaika.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweliHuyo meya aache wivu kisa kasikia ushemela umevunjika vipande ndo anamuonea gele diamond
Hunielew Vipi jamanSiku izi mbili sukuekewi kabisa,..
Sio yule na e mjua,... Ur usually sweet and understanding sasa siku izi umekua mkaliiiHunielew Vipi jaman
Unazo pengine tangu uzaliwe gharama zako hazifiki milioni 2 za kitanzania66mil tsh si mbaya kwa usiku 1
Inategemea jamani 😛 usijali.Sio yule na e mjua,... Ur usually sweet and understanding sasa siku izi umekua mkaliii
Aya, ila ndo nshajali,... Kuna tatizo lolote kwani??Inategemea jamani 😛 usijali.
Hakuna tatizo, Nitarud km awali.Aya, ila ndo nshajali,... Kuna tatizo lolote kwani??
Uko sawa,..Hakuna tatizo, Nitarud km awali.