fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
sikia kila mtu kaumbwa vyake,kuna wapiga kelele,kuna waojamba na kuna ambao huwa wanakunya kabisa kwa rahaKwani hakuna namna ya kuenjoy silently ndrugu zangu?
Mayowe ya nini sasa kama tumevamiwa na majambazi au kuna ugomvi?
Hembu gugumia utamu kistaarabu tu my friends, ladies and gentlemen.
Huo sio ungwana kabisa yaani, mnatisha watu na kukosesha wengine amani hata kama sio drama
Punguza mayowe tafadhali mbona barabara nyeupe tu haina resistance wala jam yoyote aise?🐒